Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: DR. CHARLES N. KASUKA
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 8
Download Nota Download MidiMkabidhi Bwana (kazi) kazi zako zote, na mawazo yako yote yatathibitika x 2. 1. Bwana amefanya kila kitu kwa kusudi lake, Naam hata wabaya kwa siku ya ubaya. 2. Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa Bwana, Hakika hatakosa adhabu. 3. Kwa Rehema na kweli uovu husafishwa kwa kumcha Bwana, watu hujiepusha na ubaya.