Ingia / Jisajili

Misa Ya Mt. Anna No. 1

Mtunzi: Fr. Gregory F. Kayeta
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Gregory F. Kayeta

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 50,858 | Umetazamwa mara 80,115

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Habonimana Ferdinand Oct 17, 2023
Marafiki

Habonimana Ferdinand Oct 17, 2023
Maratiki

Kam's swana Oct 20, 2020
Mungu apewe sifa fupitia kazi za watunga nyimbo.

Muthumbi Jan 02, 2020
Naomba nota (organ accompaniment - four voices) za wimbo huu: "Moyo wangu wamtukuza Bwana... Na roho yangu inafurahi...."

Albert Misi likecha Sep 18, 2019
Tunaomba mtuwekee misa ya Mt Anna iliyorekebishwa ili kuendana na mabadiliko

Mika Wihuba Aug 22, 2019
Otieno Paul mak'owuor, ulipaswa uweke mawasiliano yako hapa tukusaidie, nikuombe kama utaweza tuma nyimbo zako kwenye "mwihuba@yahoo.com"

Otieno Paul mak'owuor Jan 10, 2019
Nashukuru kwa ueledi wa nyimbo.mbarikiwe sana.Nifanyeje ili nyimbo zangu pia nizifikishe hapa?

OIIVA PIUSI Jun 23, 2018
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu PONGEZA

peter Apr 20, 2018
wimbo mwema unaopendeza

Gabriel Msule Nov 23, 2017
Mungu awabariki wote wanaoeneza injili kupitia Muziki mtakatifu. Mbarikiwe sana

john Aug 25, 2017
Ok tusonge mbele kuueneza elimu ya music

Reward May 27, 2017
Mungu na sender kuwabariki

nov. nicholaus paschal May 10, 2017
kiukweli tuwapongeze saana kwa juhudi ya kueneza injili kwa njia muziki mtakatifu kwakweli mmekuwa msaada kwa kanisa

nov. nicholaus paschal May 10, 2017
kiukweli tuwapongeze saana kwa juhudi ya kueneza injili kwa njia muziki mtakatifu kwakweli mmekuwa msaada kwa kanisa

Toa Maoni yako hapa