Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 2,270 | Umetazamwa mara 3,734
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka C
Bali {mimi nikutazame (mimi) nikutazame uso wako katika haki niamkapo nishibishwe na sura yako} X2
1. .Ee Bwana usikie haki ukisikilize kilio changu utege sikio lako
2. Hukumu yangu na itoke kwako macho yako yatazame mambo ya adili
3. Nyayo zangu zimeshikamana zimeshikamana na njia zako hatua zangu hazikuondoshwa
4. Unilinde kama mboni ya jicho unifiche chini ya uvuli uvuli wa mbawa zako
5. Ee Bwana Bwana usimame umkabili umwinamishe ee Bwana umwinamishe
6. Ee Bwana kwa mkono wako kwa mkono wako uniokoe uniokoe na watu