Ingia / Jisajili

Mimi Ndimi Wokovu

Mtunzi: Elias Mkuvalwa
> Mfahamu Zaidi Elias Mkuvalwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias Mkuvalwa

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Elias Mkuvalwa

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

Bwana asema mimi ndimi wokovu wa watu katika shida yoyote, wataniita nami nitawasikiliza nami nitakuwa bwana wao milele

1. katika shida totote wataniita nami           nitawasikiliza

2. mimi ndimi wokoovu wawaatu nami       nitakuwa bwana milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa