Mtunzi: J. Sikanyika
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 704 | Umetazamwa mara 3,100
Download Nota Download MidiMimi mwenyewe, mimi mwenyewe mimi mwenyewe nitawalisha kondoo wangu nitaalisha nami nami na mimi nitawalaza asema Bwana x2
1. a) Mimi mwenyewe nitawalisha kondoo wangu nitawalaza asema Bwana,
b) Mimi ni juu ya wachungaji nitawalaza kondoo wangu asema Bwana
2 a) Wataokolewa kwa mataifa watarudishwa (katika nchi yao wenyewe)
b) Nitawalisha malisho mema na watalala (katika zizi asema Bwana)
3 a) Nitawarudisha kondoo wangu waliopotea (katika zizi la-ke Bwana)
b) Nitawafunga walovunjika na nitawapa (nguvu wagonjwa asema Bwana)