Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 4
Download Nota Download MidiMfalme wa amani anakuja kwetu kwa upole japo yeye mfalme
anakuja kwa upole, amebebwa na mwana punda X2
1.
Tandazeni nguo apite, tandazeni matawi apite;
mpeni heshima mfalme wa mbingu nan chi, mpeni heshima
2.
Tusafishe na roho zetu ndipo mfalme apate nafasi;
tumkaribisha mfalme rohoni mwetu tuishi naye.
3.
Tuigeni mfano wake tuwe tukieneza amani kwa
maneno yetu, matendo na mafikira; amani idumu.