Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 32 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 32 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 32 Mwaka C
Kiitikio
Maombi yangu yafike mbele zako, uutegee ukelele wangu sikio lako, ee Bwana x2
Mashairi
1. Ee Bwan Mungu wangu wa wokovu wangu, mchana na usiku nimelia mbele zako
2. Maana nafsi yangu imeshiba taabu, na uhai wangu umekaribia kuzimu
3. Nimehesabiwa pamoja nao washukao shimoni, nimekuwa kama mtu asiye na msaada