Mtunzi: Ezekiel Masilu
> Mfahamu Zaidi Ezekiel Masilu
> Tazama Nyimbo nyingine za Ezekiel Masilu
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Ezekiel Masilu
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 3
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka C
- Antifona / Komunio Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka C
Macho yangu humwelekea bwana daima, naye atanitoa miguu yangu katika wavu.
1. Uniangalie na kunifadhili, maana mimi ni mkiwa na mteswa