Ingia / Jisajili

Kiu Ya Nafsi

Mtunzi: Giulio Mukaathe
> Mfahamu Zaidi Giulio Mukaathe
> Tazama Nyimbo nyingine za Giulio Mukaathe

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Giulio Mukaathe

Umepakuliwa mara 258 | Umetazamwa mara 643

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Mimi mtumishi wako nisikilize,Bwana wewe wanijua kuliko wote,misukosuko yanisonga (Mimi) ni dhaifu Bwana (Mungu) ninakulilia unisikilize Chorus:>> Nafsi yangu (inavyokutamani) --(inakutamani) Roho yangu yaona kiu kama Ayala mwenye kiu ya maji. 2.Nyimbo nimeimba Bwana na tenzi tele,masomo yangu pia kazi yote ni bure,nahisi utupu wa Roho (nawe),uko mbali nami (Leo) ninakulilia unisikilize

Maoni - Toa Maoni

NDOMBI Mar 23, 2022
Kazi nzuri hii Inapendeza kweliiiii

Silas makori Mar 23, 2022
Pongezi,kaka utunzi wenye mvuto

Mtume Mar 23, 2022
Wimbo mzuri Sana'a??hongera mukaathe Nazipenda nota Zake

Toa Maoni yako hapa