Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 18
Download Nota Download MidiKAZALIWA MANYASINI
Leo Bethrehemu pangoni Mtoto Yesu amezaliwa, kazliwa usiku wa manane ...x2
Kazaliwa manyasini, ni mnyonge ni mkiwa amelazwa horini kwenye zizi la ng`ombe ...x2
1) Mtoto amezaliwa kwa ajili yetu, tumepewa mtoto mwanaume tumshangilie leo
2) Na mwenye ufalme mabegani pake naye ataitwa Malaika wa shauri kuu
3) Mwimbieni bwana wimbo mpya kwa sababu ametenda mambo mambo ya ajabu