Mtunzi: Peter Deus Mkali
> Mfahamu Zaidi Peter Deus Mkali
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Deus Mkali
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Mika Vincent
Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 5
Download Nota Download MidiLeo na mapema kafufuka mwokozi, kaburini hayumo ametoka mzima twimbe aleluya aleluya tufurahi kristo ni mshindi
1. Mariam magdalena na wenzake walikwenda kaburini wakakuta kaburi li wazi
2. Walinzi waliulizwa wakaogopa kwa hofu wakasema wezi walimwiba tulipokuwa tumelala
3. Kristo Yesu kafufuka kweli kweli kafufuka kawatangulia galilaya nendeni mkamwone