Ingia / Jisajili

I Love You

Mtunzi: Andrew Malagho

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 37,241 | Umetazamwa mara 56,276

Download Nota
Maneno ya wimbo

I LOVE YOU

  1. SIKU TULIYOINGOJA MIMI NA WEWE, KWA UWEZO WAKE MUNGU LEO IMEFIKA, POPOTE UENDAPO TUTAKUWA PAMOJA (MUNGU AMETUUNGANISHA MIMI NAWE, NASI WAWILI TENA NI MWILI MMOJA, WEWE NI WANGU KWELI NA MIMI NI WAKO NJOO, I LOVE YOU MPENZI WANGU I NEED YOU SIKU ZOTE I LOVE YOU)X2

  1. KWA MAOMBEZI YAKE MAMA YETU MARIA, AHADI YETU SASA KWELI IMETIMIA, POPOTE UENDAPO TUTAKUWA PAMOJA (MUNGU AMETUUNGANISHA MIMI NAWE, NASI WAWILI TENA NI MWILI MMOJA, WEWE NI WANGU KWELI NA MIMI NI WAKO NJOO, I LOVE YOU MPENZI WANGU I NEED YOU SIKU ZOTE I LOVE YOU)X2

  1. CHAGUO LA MOYO WANGU MIMI NAKUPENDA, TULIZO LA MOYO WANGU NJOO KARIBU YANGU, POPOTE UENDAPO TUTAKUWA PAMOJA (MUNGU AMETUUNGANISHA MIMI NAWE, NASI WAWILI TENA NI MWILI MMOJA, WEWE NI WANGU KWELI NA MIMI NI WAKO NJOO, I LOVE YOU MPENZI WANGU I NEED YOU SIKU ZOTE I LOVE YOU)X2

  1. NIMEKUCHAGUA WEWE WANGU WA MAISHA, AGIZO LA MOYO WANGU NJO TUJITULIZE, POPOTE UENDAPO TUTAKUWA PAMOJA (MUNGU AMETUUNGANISHA MIMI NAWE, NASI WAWILI TENA NI MWILI MMOJA, WEWE NI WANGU KWELI NA MIMI NI WAKO NJOO, I LOVE YOU MPENZI WANGU I NEED YOU SIKU ZOTE I LOVE YOU)X2

  1. MPENZI WANGU NAKUPENDA NAWE UNIPENDE, KWA PENZI LA RAHA NA KARAHA TUPENDANE, POPOTE UENDAPO TUTAKUWA PAMOJA (MUNGU AMETUUNGANISHA MIMI NAWE, NASI WAWILI TENA NI MWILI MMOJA, WEWE NI WANGU KWELI NA MIMI NI WAKO NJOO, I LOVE YOU MPENZI WANGU I NEED YOU SIKU ZOTE I LOVE YOU)X2

Maoni - Toa Maoni

Donald kipchumba Mar 02, 2024
Kazi safi

Zacharia Sep 08, 2022
Ahsante

Alfred momanyi Jul 11, 2022
Sauti tamu na ni nzuri Sana .ubaya amechanganya kiswahili na kiingeleza wale wenye awajasoma awawezi elewa (I love you) in maanisha Nini?angetumia kiswahili pekee ama atumie kiingelesa but sauti inapendesa. (melody)

Justine Sililo Nov 20, 2021
Huu wimbo ni mzuri na nimtamu sana, MUNGU akutie nguvu Daima.

Erick Jun 26, 2021
Amazing

Dotto Jun 14, 2021
Pongezi sana

Nzuri sana Jun 14, 2021
Nzuri Sana

Bonnie May 12, 2021
Huu wimbo hapa inchini kenya Twauimba sana katika harusi Hongera sana watuzi

Bonnie May 12, 2021
Huu wimbo hapa inchi kenya Twauimba sana katika harusi Hongera sana watuzi

Winnie Mar 06, 2019
Wimbo mtamu kupindukia

michael kuboja Dec 07, 2018
iko vizuri kwaya hii naomba mnipe namba zenu

michael kuboja Dec 07, 2018
iko vizuri kwaya hii naomba mnipe namba zenu

leonard G nchinga Dec 02, 2018
Hongera sana kwa mtunzi wa wimbo huu

Yohana Isalwa Nov 12, 2018
hongeren xana wimbo mzuri hadi nafurahia kuwa kwenye ndoa

nyambwa Sep 13, 2018
wimbo unafaa sana pongezi kwa mtunzi na waimbaji

peter solwe Aug 07, 2018
ukweli ni wimbo mzuri sana na unavutia kwa wanandoa

KIKOTI Jul 14, 2018
wimbo mzuri sana

KIKOTI Jul 14, 2018
wimbo mzuri sana

paulo sarwatt Jun 08, 2018
nzuri sana jaman

Magreth Shayo May 02, 2018
wimbo ni mzuri sana naomba nitumiwe.

Andrew Malagho Apr 28, 2018
wimbo huu uliimbwa na kwaya ya Mt Anna Mgange Nyika (Kenya)

Sebastian Feb 16, 2018
Kiukweli wimbo huu unanigusa sana kwan natarajia kuimbiw wimbo kama huo miez ijayo kwamapenz yake mwenyez akijaria.

amos Jan 12, 2018
bonge la wimbo mkuu

JOSEPH Nov 07, 2017
nawapongeza kwa wimbo mmeimba vizuri hongera

Erich Bukuku Sep 15, 2017
; hongera kwa ujumbe mzuri!

immaculate Jul 31, 2017
Eko kwa mtunzi,lakini wembo wenyewe natamani kudownlond lakin siupati na fanyaje umembwa na choir gani tafadhali

paul shepherd Jul 01, 2017
heko kwa utunzi na ujumbe mtamu..Mungu azidi kuwabariki kwa nyimbo nzuri

YOHANA TOSTAO Mar 11, 2017
KAMA MTUNZI HAJULIKANI APLODERS WASHUGHULIKIE JAMBO HILO FASTA

YOHANA TOSTAO Mar 11, 2017
SAFI SANA!

Tenges Feb 16, 2017
Noti za huu wimbo mbona haziendani Sana na audio kunabaadhi ya Maeneo hasa sauti soprano ipo tofauti kabisa na copy

Ignas mbalamwezi Sep 15, 2016
wimbo nimzuli Sana tena Sana isipokua naomba nota zake ili ujumbe ufike kwa maharusi wote popote tanzania

Toa Maoni yako hapa