Mtunzi: Antelmo Mkulla
> Mfahamu Zaidi Antelmo Mkulla
> Tazama Nyimbo nyingine za Antelmo Mkulla
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Antelmo Mkulla
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 5 ya Pasaka Mwaka A
Hubirini Kwa sauti Kwa sauti ya kuimba yatangazeni yatamkeni haya mpaka mwisho wa dunia [(semeni bwana bwana)x2 amelikomboa taifa lake aleluya]x2
SHAIRI.
Hubirini hubirini Kwa kuimba na zitangazeni habari zake mpaka mwisho wa dunia