Mtunzi: Joseph Mgallah
> Mfahamu Zaidi Joseph Mgallah
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Mgallah
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka
Umepakiwa na: Joseph Mgallah
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka C
HUBIRINI, HUBIRINI KWA SAUTI YA KUIMBA X2
TANGAZENI HAYA YATAMKENI MPAKA MWISHO WA DUNIA, SEMENI BWANA AMEWAKOMBOA WATU WAKE ALELUYA X2
1. Mpigie ni bwana kelele za shangwe nchi yote imbeni utukufu wa jina lake.
2. Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwamaana ametenda mambo ya ajabu