Mtunzi: Vedasto A.J. Rusohoka
> Mfahamu Zaidi Vedasto A.J. Rusohoka
> Tazama Nyimbo nyingine za Vedasto A.J. Rusohoka
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Vedasto Adriano
Umepakuliwa mara 23 | Umetazamwa mara 39
Download Nota Download MidiHiki ni chakula kilichoshuka kutoka Mbinguni kwa ajili yetu pia Hiki ni kinywaji kilichoshuka kutoka Mbinguni kwa ahili yetu.twendeni wote tule chakula chauzima ili tupate uzima wa Roho zetu, pia twendeni wote tunywe kinywaji cha uzima ili tupate uzima wa Roho zetu