Mtunzi: Paulo Prince Kabazo
> Mfahamu Zaidi Paulo Prince Kabazo
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Prince Kabazo
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Paulo prince kabazo
Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 17
Download Nota Download Midi1. Hawakujua kwamba ni mwana wa Mungu walipo muhukumu afe msalabani, hawakujua kwamba ndiye Kristo Bwana aliyekuja kuikombola taifa lake
R/ Amefufuka tuimbe aleluya, tuimbe aleluya, tuimbe aleluya Bwana yesu Amefufuka.