Ingia / Jisajili

Furahi Jerusalemu

Mtunzi: Julius Mboje Lucas
> Mfahamu Zaidi Julius Mboje Lucas
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Mboje Lucas

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: MBOJE LUCAS

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Furahi Yerusalemu Mshangilieni nchi yote ninyi nyote mmpendao ninyi nyote furahi mliao kwa ajili yake.

1.Mshangilieni ninyi nyote, furahini na mnaolia mpate kunyonya na kushibishwa kwa maziwa ya faraja zake

2.Bwana asema tazama atawaelekezea amani na utukufu wa mataifa magotini mtabembelezwa


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa