Ingia / Jisajili

Enyi watu wa galilaya

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: John Kimaro

Umepakuliwa mara 122 | Umetazamwa mara 811

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyi watu wa galilaya mbona mwashangaa (huku) mkitazama mbinguni ( huko) mlipomwona akienda zake mbinguni, vivyo hivyo atakavyorudi Aleluyax2. SHAIRI;. Walipokuwa wakitazama juu mbinguni yesu alipokuwa akienda zake tazama watu wawili wakasimama karibu nao wakasema.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa