Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Furaha Mbughi
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka C
Enendeni Ulimwenguni mwote, Enendeni Ulimwenguni mwote x2
Mkaihubiri, mkaihubiri Injili, mkaihubiri, mkaihubiri Injili x2
1. Enyi mataifa yote msifuni Bwana, Enyi watu wote mhimidini.
2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa Bwana ni wa milele.