Mtunzi: Dr.vasco A Kapinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.vasco A Kapinga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: VASCO.A. KAPINGA
Umepakuliwa mara 31 | Umetazamwa mara 37
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka C
Kiitikio:
Ee nendeni ulimwenguni mwote (mkaihubiri injili mkaihubiri injili)×2
Mashairi:
1.Enyi mataifa yote msifuni bwana, enyi watu wote mhimidini.
2.Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, nauaminifu wa Bwana ni wamilele.