Mtunzi: Anophrine D. Shirima
> Mfahamu Zaidi Anophrine D. Shirima
> Tazama Nyimbo nyingine za Anophrine D. Shirima
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Anophrine desdeus
Umepakuliwa mara 915 | Umetazamwa mara 3,046
Download Nota Download MidiKIITIKIO.
Ee Mungu, Ee Mungu, Ee Mungu uniokoe.
MAIMBILIZI.
1.Shetani ananiwinda, ninaomba msaada wako, usiniache Mungu naangamia.
2.Matatizo yamezidi, ninaomba msaada wako, usiniache Mungu naangamia.