Ingia / Jisajili

Ee Mungu Ngao Yetu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Mungu Ee Mungu Ee Mungu ngao yetu uangalie umtazame uso masihi wako X2

Hakika siku moja katika nyua zako ni bora ni bora kuliko siku elfu X2

1. Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu kuliko kukaa katika hema za uovu

2. Kwa kuwa Bwana Mungu ni jua na ngao Bwana atatoa neema na utukufu

3. Hatawanyima kitu chema hatawanyima kitu chema hao waendao kwa ukamilifu

4. Ee Bwana wa majeshi Ee Bwana wa majeshi heri mwanadamu anayekutumaini wewe


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa