Mtunzi: Ezekiel mwalongo
> Mfahamu Zaidi Ezekiel mwalongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ezekiel mwalongo
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Ezekiel Mwalongo
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka C
EE MUNGU NGAO YETU
Ee Mungu ngao yetu uangalie umtazame, umtazame uso Kristo wako x2
1.Hakika siku moja katika nyua zako ni bora, nyua zako ni bora kuliko siku elfu.
2.Ningependa kuwa bawabu nyumbani Mwa Mungu wangu kuliko kukaa katika hema za uovu.
3. Kwa kuwa Bwana Mungu, Mungu ni jua na ngao Bwana atatoa neema na utukufu