Ingia / Jisajili

Ee Bwana Yote Uliyotutendea

Mtunzi: Desderius Ladislaus
> Mfahamu Zaidi Desderius Ladislaus
> Tazama Nyimbo nyingine za Desderius Ladislaus

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Desderius Ladislaus

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana yote uliyotutendea, yote uliyotutendea, umeyatenda kwa haki x2

1. Kwa kuwa sisi tumetenda dhambi, wala hatukuzitii amri zako

2. Ulitukuze jina lako na kututendea sawasawa na wingi wa huruma zako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa