Ingia / Jisajili

Ee Bikira Ua Zuri La Karmeli

Mtunzi: Frt. Daniel Ndile
> Mfahamu Zaidi Frt. Daniel Ndile
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Daniel Ndile

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria

Umepakiwa na: Frt. Daniel Ndile

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

EE BIKIRA UA ZURI LA KARMELI Na Frt. Daniel Ndile

KIITIKIO

Ee Bikira Ua zuri la Karmeli (na pia II&IV), mzabibu uliochanua.

Ee Bikira Ua zuri la Karmeli (na pia II&IV), na mng’ao wa mbinguni.

(Mama mpole na mwadilifu, uwe msaada kwetu wanao.

Mama mpole na mwadilfu, wewe ni mama na nyota ya bahari × 2)

1. Utunze twaomba, na kukuza ndani yetu,

Ule moto hai Roho alowasha, kwa waanzilishi.

2. Tuongoze ee mama, mwenye huruma na mwema

Tuwe wasikivu kwa Moyo wa Kristo, tujibidiishe.

3. Tustawishe Karmeli, pande zote za dunia,

Tutangaze Injili na kwa matendo, tena kwa upendo.

4. Na huduma kwa ndugu, na zenye pendo karimu,

Kuwa karabati kwenye Muungano, naye Mungu kwao.

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa