Ingia / Jisajili

E Bwana Utete Nao.

Mtunzi: PETER MBIONI
> Mfahamu Zaidi PETER MBIONI

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Francis Mbioni

Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 31

Download Nota
Maneno ya wimbo
E bwana utete nao wanao teta nami usimame upigane nao wanaopigana nami uishike ngao na kingao usimame unisaidie uushike na mkuki bwana uwapige wanao nifuatia uiambie nafsi yangu mimi ni wokovu wako.

Maoni - Toa Maoni

Bonifasi m sihol Apr 11, 2025
Nauomba wimbo huu hii ninyumba ya mungu kop yake

Toa Maoni yako hapa