Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratius Didas
Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 22
Download Nota Download MidiBwana ni nani atakaye kaa katika hema yako.
1. Bwana ni nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako kitakatifu, ni mtu aendaye kwa ukamilifu.
2. Ni yeye ambaye hakumtendea mwenzie vile vibaya wala hakumsengenya jirani yake machoni pake mtu asiyefaa hudharauliwa.