Ingia / Jisajili

Bwana Mfalme

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 27,012 | Umetazamwa mara 44,403

Download Nota
Maneno ya wimbo

NA J. MGANDU

Bwana Mfalme ameketi milele, (Bwana) atawabariki watu kwa amani x2

1. Atawala duniani na mbinguni toka mto hata kingo za dunia

2. Na wafalme wote wata mwabudia, mataifa yote yatamtumikia

3. Utawala utawala wa milele ni ufalme wenye kudumu milele


Maoni - Toa Maoni

Thomas Matiko Nov 26, 2023
Hakika ni wimbo mzuri sana Mungu akukumbuke daima katika Ufalme wake

rose komba Nov 20, 2022
Kila nikijaribu kupakua cwez

William Oct 13, 2022
Upo vizuri hakika pongezi kwako .. lakini kuna typing error so zaburi ya 28

Paschal Nov 20, 2019
Saluti kwake John mgandu,,,wimbo mzuri sana tena sana,,,,hakika wimbo wake unainjilisha sana

jovit j.ntakulega Jan 12, 2018
inapendeza sana

Toa Maoni yako hapa