Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Fransis Norbert
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka A
Bwana asema mimi ni wokovu wa watu, wakinililia katika taabu nitawasikiliza nami nitakuwa Bwana wao milele x2.
1. Ee Mungu uliyaweka maagizo yote ya sheria takatifu utujalie kuzishika amri zako tupate kustahili kuufikia uzima wa milele.
2. Yeye aniaminiye hatakufa kabisa, hata milele asema Bwana