Mtunzi: Frt. Zacharia Nyembeke Cpps
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Zacharia Nyembeke Cpps
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Zacharia Nyembeke
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 33 Mwaka C
BWANA ANAKUJA AWAHUKUMU
Kiitikio: Bwana anakuja awahukumu, (//awahukumu mataifa kwa haki, awahukumu mataifa kwa haki*2)
1. Mwimbieni Bwana Zaburi kwa kinubi, Kwa panda na sauti ya baragumu, shangilieni mbele za Mfalme Bwana.
2. Bahari na ivume na Vyote, na Vyote viijazavyo, Ulimwengu nao wanaokaa ndani yake, mito na ipige makofi, milima na iimbe kwa furaha mbele za Bwana
3. Kwa maana Bwana anakuja aihukumu nchi, atauhukumu ulimwengu kwa haki, na mataifa, kwa adili.