Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 15
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 7 Mwaka C
BWANA AMEJAA HURUMA
Bwana amejaa Bwana amejaa huruma na neema x2
1.Ee nafsi yangu umhimidi Bwana, naam, vyote vilivyo ndani yangu, vilihimidi jina lake Takatifu /
Ee nafsi yangu umhimidi Bwana, wala usizisahau fadhili zake zote.