Mtunzi: Lexon Laymond
> Mfahamu Zaidi Lexon Laymond
> Tazama Nyimbo nyingine za Lexon Laymond
Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Lexon Laymond
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 9
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka C
KIITIKIO
Asifiwe Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu kwasababu ametufanyizia huruma yake.
MASHAIRI
1. Mungu Baba alituumba, Mungu mwana akatukomboa, Mungu Roho Mtakatifu ndiye mfariji wetu.
2. Umoja wa Utatu Mtakatifu Ushirikika usiogawanyika nasi tuzidishie Imani.