Mtunzi: Irene Calvin
> Mfahamu Zaidi Irene Calvin
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Amadeus B. Lukela
Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 13
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka C
Asifiwe Mungu baba na mwana na Roho mtakatifu kwasababu ametufanyizia huruma yake ×2
1.Utatu mtakatifu ni Mungu Mmoja yaani baba na mwana Naye roho mtakatifu.
2.Usifiwe Mungu baba muumba wa vitu vyote ulimwengu wote ukatika uweza wako.