Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Deogratius Didas
Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 32
Download Nota Download MidiAsante Bwana asante Yesu asante sana kwa mema yako yote.
1. a) Umetulisha kwa mwili wako, asante sana kwa mema yako yote. b) Umetunywesha kwa damu yako, asante...
2. a) Umetukinga ajali nyingi, asante... b) Umetuponya maradhi mengi, asante...
3.a) Twakuonesha upendo sasa, asante... b) Uwe na sisi maishani mwetu, asante...