Ingia / Jisajili

Aleluya

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 6,553 | Umetazamwa mara 14,088

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

JOHN MGANDU

4.7.1989

DSM

Aleluya aleluya aleluya aleluya x 2

Aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya x 2

Ewe Baba wa Bwana wetu Yesu Kristu, Yesu Kristu uyatie nuru macho ya mioyo yetu, ili tujue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo.


Maoni - Toa Maoni

Stanslaus Salvatory May 22, 2016
kazi hii imesaidia sana kwenda sambamba na litrujia yetu. Bwana awe nany..

Toa Maoni yako hapa