Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Matawi | Miito
Umepakiwa na: Furaha Mbughi
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download Midi[Waacheni watoto, waacheni watoto wadogo waje kwangu, msiwazuie ]x2 [Kwamaana watoto kama hawa, ufalme wa Mungu ufalme wa Mungu ni wao] x2
1. Wakamletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, wanafunzi wake wakawakemea na Yesu akawaambia.
2. Amin nawaambieni, yeyote asiyeukubali ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hatauingia kabisa.