Ingia / Jisajili

Twende Tukatoe Sadaka

Mtunzi: Patrick Tanganyika
> Mfahamu Zaidi Patrick Tanganyika
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Tanganyika

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Eng. Joseph Silvester

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Haya ndugu yangu twende tukatoe sadaka kwa Bwana kwani yotee ni mali yake yatupasa turudishe kwake.

MASHAIRI

1. Unawaza nini twende tukamtolee sadaka Bwana,ataipokea.

2. Toa ndugu chochote kwa-moyo mweupe, naye Bwana atakipokea.

3. Tukajiwekeee hazina mbinguni pasipo nondo wala ku-tu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa