Ingia / Jisajili

Tazama Mungu Ndiye Anayenisaidia

Mtunzi: Emanuel Chisunga Kasebe
> Mfahamu Zaidi Emanuel Chisunga Kasebe
> Tazama Nyimbo nyingine za Emanuel Chisunga Kasebe

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Emanuel Kasebe

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Tazama Mungu ndiye anayenisaidia x2

Bwana ndiye anayeitegemeza nafsi yangu x2

Tazama Mungu ndiye anayenisaidia.

1. Kwa ukunjufu wa mioyo nitakutolea dhabihu nitakutolea dhabihu Ee bwana

2. Nitalishukuru jina lako takatifu nitalishukuru jina lako maana ni njema.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa