Mtunzi: EVARIST CHUWA
> Mfahamu Zaidi EVARIST CHUWA
> Tazama Nyimbo nyingine za EVARIST CHUWA
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Evarist Chuwa
Umepakuliwa mara 24 | Umetazamwa mara 30
Download NotaSasa ni wakati wa kutoa sadaka Inuka mkristo ukamtolee muumba wako ukamshukuru na kujiombea Baraka tele
1. Ee Mungu baba wa mbinguni, tazama wanao twaja kukutolea, sadaka yetu nazo Nia zetu twakuomba uipokee
2. Ifananishe ya Abeli, mtumishi wako aliyekutolea, sadaka safi ikakupendeza nasi yetu ikupendeze
3. Kwa moyo mnyofu tunaleta, nazo Nia zetu twaja kukutolea, sala shukrani juhudi zetu twakuomba uzipokee