Mtunzi: Julius Mokaya
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Mokaya
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Julius Mokaya
Umepakuliwa mara 1,228 | Umetazamwa mara 3,132
Download Nota Download Midi
Nitakutuza Ee Mungu
Nitakutukuza wewe Ee Mungu,(Mungu wangu), kwa kuwa umeniinua;(juu),
hukuacha adui zangu,(Ee Mungu) washangilie juu yangu.