Ingia / Jisajili

Nakutumainia (Mahujaji Wa Matumaini)

Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi

Makundi Nyimbo: Anthem | Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Furaha Mbughi

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 3

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NAKUTUMAINIA (F.Mbughi) Wimbo wa Jubilei ya Miaka 2025 ya Ukristo Duniani (Mahujaji wa Matumaini)

[Kama mwali wa moto tumaini langu linawaka] x2  [Wimbo wangu huu ukufikie wimbo ukufikie, chanzo cha uzima, uzima usio na mwisho, kwenye safari ya maisha nakutumainia] x2

    • 1. Kila lugha watu na ttaifa, tunapata nuru katika neno lako, wana na mabinti wanyonge waliotawanyika, wanakusanywa kwa mwanao mpendwa.

2. Ee Mungu mpole na mvumilivu sana, ututazame sote, ututazame sote, yazaliwe mapambazuko ya matumaini mapya, mbingu na dunia zifanyike upya, pitisha ngome, roho wa uzima.

3. Inua macho yako, songa kwa upepo, kaza mwendo Mungu anakuja kwa wakati, mtazame mwana aliyefanyika mtu, maelufu kwa maelfu wanapata uzima.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa