Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiMWENZANGU POKEA PETE HII
Mwenzangu pokea pokea pete hii, iwe ishara ya upendo wangu na uaminifu wangu kwako ...x2
Wewe ndiyo mimi (mke/Mume0 wangu nami ndiyo wewe (mke/Mume) wangu nakuambia kwenye shida na raha, sote tuwe kitu kimoja ...x2
1) Mimi nakupenda katika shida na raha nitakupenda milele, nitaishi nawe mielel.
20 Mimi ninakupenda nitasaidiana nawe, nakukufariji daima, nitakupa raha daima.
30 mimi nakupenda sitakuhesabia baya nitadumisha uepndo, njoo kwangu nitakufariji