Ingia / Jisajili

Mungu Yu Katika Kao Lake. Takatifu

Mtunzi: Davis Charles Ungele
> Mfahamu Zaidi Davis Charles Ungele
> Tazama Nyimbo nyingine za Davis Charles Ungele

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Davis Charles Ungele

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu yu katika kao lake takatifu x2 (Mungu yu katika kao lake takatifu, Mungu yu katika kao lake takatifu) x2

1.Yeye huwapa watu wake nguvu na uweza, huwapa watu wake nguvu na uweza.

2. Mungu yupo katika kao lake takatifu, yupo katika kao lake takatifu.

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa