Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi
Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari | Kristu Mfalme | Watakatifu
Umepakiwa na: Furaha Mbughi
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 1
Download Nota Download MidiMENE TEKELI PERESI
[MENE MENE Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha, TEKELI umepimwa kwa mizani nao umeonekana kuwa umepunguka, PERESI ufalume wako umegawanyika nao wamepewa Waamedi na Waajemi ] x2
1. Belishaza mfalme, alifanya karamu, akavitumia vyombo vya kutoka hekaluni; Ukutani akaona viganja vya mikono vikiandika maneno yaliyosomeka hivi:
2. Tunapoyasoma haya tunakumbushwa yakuwa Mungu wetu anapaswa kuheshimiwa daima; Hekaluni ni mahali, mahali patakatifu, yatupasa kuheshimu, mungu wetu atukuzwe.