Mtunzi: K. F. Manyenye
> Mfahamu Zaidi K. F. Manyenye
> Tazama Nyimbo nyingine za K. F. Manyenye
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Kiyaya F. Manyenye
Umepakuliwa mara 434 | Umetazamwa mara 1,935
Download NotaKila apandaye haba, atavuna haba.Apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.
Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni wala si kwa lazima maana Mungu, humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.