Ingia / Jisajili

Karibuni Wageni Wetu

Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustini F.Mganuka

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Faustini Mganuka

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota
Maneno ya wimbo

SHAIRI.

 Tazama ilivyovema ndugu kukaa kwa pamoja wakimtukuza Mungu Kwa pamoja.x2

Leo twawakaribisha hapa kigangoni{parokiani} kwetu Leo furaha kutembelewa nanyi.x2

SHAIRI

1.Ujio wenu umetupa faraja kwamba sisi ni wamoja kanisa takatifu linalosafiri hapa duniani kufika mbinguni

2. Tumuimbe Mungu kwa Roho na kweli kwani tukifanya hivyo tunapata baraka, tukimuimbia kwa roho na kweli tutamuona Mungu

3. Kwetu leo furaha kutembelewa nanyi, sisi Wana karolilwanga twawakaribisha hakika wema wa Mungu umeonekana Leo




Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa