Mtunzi: Steven kiteve
> Mfahamu Zaidi Steven kiteve
> Tazama Nyimbo nyingine za Steven kiteve
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Steven Kiteve
Umepakuliwa mara 25 | Umetazamwa mara 34
Download Nota Download MidiInuka ndugu tukamtolee Mungu sadaka, shukrani kwa mema mengi aliyotujalia, ametujalia afya njema (pia) ridhiki kukidhi mahitaji yetu ya kila siku, tumshukuru kwa kutoa sadaka.