Ingia / Jisajili

Ee Bwana Kama Wewe

Mtunzi: Gregory J.A Mdalingwa
> Mfahamu Zaidi Gregory J.A Mdalingwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gregory J.A Mdalingwa

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Gregory J.A. Mdalingwa

Umepakuliwa mara 18 | Umetazamwa mara 42

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana Kama wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana nani angesimama×2 1. Bwana kama wewe unehesabu maovu, Ee Bwana nani angesimama 2. Lakini kwako kuna msamaha, Ee Mungu wa Israeli 3. Rehema na hukumu nitaziimba, Ee Bwana nitakuimbia zaburi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa