Ingia / Jisajili

Bwana Na Bibi Harusi Wanameremeta

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 4

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                                                        BWANA BIBI HARUSI WANAMEREMETA       

Wanameremeta Bwana na Bibi harusi, wanameremeta wanameremata  wanameremata  Bwana na Bibi harusi tuwashangilie ...x2

hao siyo wa wili tena bali ni mwili mmoja wanameremeta wanameremeta tuwashangilie ...x2

1) Kweli wanekuwa mmwili mmoja sasa wanafanana sura na roho tuwashangilie

2) Muombeni mungu awape baraka ishini kwa amani na kusameheana kwenye ndoa yenu.

3) Hakuna aliye mkamilifu aliyemkamilifu mkikoseana mkasameheane.

4) Ishini katika amri ya upendo mkavumiliane msameheane msihesabiane mabaya              


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa