Mtunzi: Kayombo CW
> Mfahamu Zaidi Kayombo CW
> Tazama Nyimbo nyingine za Kayombo CW
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: cosmas kayombo
Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 11
Download Nota Download MidiAMEFUFUKA
1. Kaburi liwazi Yesu amefufuka ameshinda mauti aleluya; vitambaa vimezongwa hakuna mwili amefufuka kweli aleluya
Kiitikio: Nishangwe aleluya amefufuka ameyashinda mautix2
2. Malaika kasema Yeasu amefufuka ameshinda mauti aleluya; ametutangulia kwenda galilaya amefufuka kweli aleluya
3. Ametimiza andiko la ufufuko ameshinda mauti aleluya; tena Yesu alisema kwa kinywa chake amefufuka kweli aleluya
Kibwagizo
(a) Minyororo ya shetani imevunjwa tumekombolewa kwa damu ya Kristo
(b) Ametupatanisha na Baba yetu tumeko......
(c) Ametuweka mahali pa juu sana tumeko....
(d) Kwa damu azizi iliyomwagika tumeko.........